Skip to main content
Loading...

Youth in Action for Income Generative Activities!


TZS 26,000
RAISED
4
SUPPORTERS
TZS 1,000,000
TARGET
Completed
Verified Campaign

Youth in Action

Since 2010, the ATD Fourth World Movement in Dar Es Salaam, Tanzania, has been supporting vocational training for young adults who often dropped out of school at the beginning of their secondary education.

The young friends of ATD FW are involved as volunteers in their neighborhoods, for their community, they run a street library with about sixty children in the underprivileged neighborhood of Tandale and organize outings to the National Library of Dar es Salaam and cultural and artistic workshops.

Kijana Katika Vitendo

Tangu mwaka 2010, shirika la ATD Dunia ya Nne Dar es Salaam Tanzania. Limekuwa likisaidia vijana kushiriki katika masomo ya ufundi stadi hasa kwa wale ambao hawakubahatika kuendelea na Elimu ya Sekondari.

Marafiki vijana wa ATD Dunia ya Nne, wamekuwa wakijitolea katika jamii zao kwa kuendesha zoezi la maktaba ya mtaa, zoezi ambalo kwa wastani watoto sitini (60) na kuendelea kwa wale wasio na uwezo katika maeneo ya Tandale na pia huwa wana ratibu zoezi la kuwapeleka watoto katika maeneo tofauti tofauti kama vile maktaba ya taifa na vituo vya tamaduni na sanaa.

A Changing Society Seeks Solutions

Tanzania is making a significant effort to train many young people for various craft and industrial sectors: carpentry, welding, electricity, solar energy, car mechanics, industrial parts manufacturing, drivers, sewing, computer maintenance, smartphone repair, etc. These trainings also include learning English and a foundation for managing an economic activity (budgeting and marketing).

In spite of this effort, many trained and qualified young people arrive on the job market with difficulties to find a job corresponding to their desires and qualifications.

Many young graduates wish to start an independent activity, however, many of them coming from extreme poverty do not have the necessary economic capital, alone or in partnership, to buy tools, rent a place to work, pay taxes and/or open a store with enough products.

Kuibadilisha Jamii kwa Kuyapatia Ufumbuzi Masuala ya Msingi

Nchi ya Tanzania imekuwa ikifanya jitihada kubwa katika kuhakikisha vijana walio wengi wanapata mafunzo ya ufundi stadi katika nyanja tofauti tofauti kama vile Ufundi seremala, uchomeleaji, umeme, ufundi magari, uzalishaji wa viwandani, udereva wa magari, ushonaji, mafunzo ya kompyuta, ufundi simu na kadhalika. Mafunzo haya pia uhusisha kujifunza lugha ya kiingereza na kutengenezewa msingi wa kuweza kuendesha shughuli zao za kiuchumi (Bajeti na Masoko).

Mbali na Jitihada hizi, walio wengi hujifunza na kuhitimu, lakini vijana wengi wanapoingia katika soko la ajira hukutana na changamoto ya kupata kazi inayoweza kuendana sambamba kwa shauku na vigezo walivyonavyo.

Vijana wengi wanapohitimu mafunzo yao kwa kiasi kikubwa hupendelea kuanzisha shughuli za kujitegemea, hata hivyo, walio wengi hutoka katika lindi la umaskini uliokithiri hukosa mitaji iwe kwa mtu mmoja au vikundi kama vile kununua dhana, pango la kukodi, kulipa kodi au kufungua duka sambamba na bidhaa za kutosha.

Godfrey, Electrician, Seeking Support

A first group of young friends of ATD FW are in this situation. One of them, Godfrey Mwaja, from the Tandale neighborhood, supported to be graduated in electricity and solar panel installation, has multiplied the interviews with companies, he has obtained some daily and temporary jobs in the sector or underpaid and not very decent proposals.

Having no familial and professional network and the possibility of being co-opted to be hired in a company, he decided with three friends to start the steps to launch an independent activity as an electrician linked to the opening of a store of electrical equipment. If he has the opportunity, he will continue temporary to install solar panels.

Godfrey went to the local government in his neighborhood to find out about the conditions for obtaining a zero-interest loan and to micro-credit organizations. The loans allocated are too small to start the activity he is considering (e.g.: community loan at 100,000 TZS, approx. 40 €). To start an artisan activity, one needs about 1,000,000 TZS (about 375 €) and to open a small store about 7,000,000 TZS (about 2,600 €).

Godfrey has also gone to a "classic" bank, however without initial capital contribution, he cannot get a loan.

Even if the cost of living is low in Tanzania, some technical tools cost proportionally more than in Europe and are totally inaccessible new and second hand to a large part of the population.

Godfrey Fundi Umeme, Anayetafuta Ufadhili

Kundi la vijana marafiki wa ATD Dunia ya Nne wanapitia changamoto hii, na mmoja wao ni Bwana Godfrey Michael Mwaja anaishi maeneo ya tandale. Alifadhiliwa na kuhitimu mafunzo ya umeme, amewasilisha maombi yake ya kazi katika kampuni mbalimbali. Amekuwa akijishughulisha na kazi mbalimbali na za muda mfupi ambazo maslahi yake si ya kuridhisha.

Ni ngumu kupata ajira au kuajiriwa katika kampuni au ofisi iwapo huna mtu au watu wanaoweza kukutengenezea mazingira ya kupata kazi na kuajiriwa. Hivyo basi ndio maana ameamua yeye kwa kushirikiana na wenzake watatu kunzisha mradi wao unaouhusiana na umeme kwa kufungua duka la vifaa vya umeme. Na anapokuwa anapata nafasi kuendelea na ufundi kwa kazi za muda mfupi.

Godfrey alitemabelea ofisi za serikali na taasisi zinazojishughulisha na utoaji wa mikopo maeneo ya Tandale. Mikopo inayotolewa ni ya kiasi kidogo mno kama shilingi laki moja 100,000/= sawa na EURO 40. Kwa kuanza shughuli za ufundi uhitaji angalau kiasi cha shilingi 1,000,000 Tzs sawa na EURO 375 na kuweza kufungua duka la masuala ya umeme uhitaji angalau kiasi cha shilingi 7,000,000 Tzs sawa na EURO 2600.

Godfrey alitembelea moja kati ya benki, hata hivyo maelezo aliyopewa kutoka Bank bila ya kuwa na chanzo cha kukuingizia kipato ni vigumu kupata mkopo.

Ingawa gharama za maisha Tanzania si kubwa mno, lakini baadhi ya vifaa gharama zake ni kubwa sana ukilinganisha na bei za ulaya na ni vigumu kupata vifaa kwa gharama ya chini.

A Fund to Support Vocational Training and Creation of Activities

After having carried out these numerous prospection steps and on the recommendation of the employment advisor of his former school, the VTC Don Bosco Oyster Bay, we decided to create a fund to support the creation of professional activities for the young friends of ATD Fourth World in Dar es Salaam, starting by supporting his collective project of Godfrey.

We are therefore launching a crowdfunding to obtain the capital necessary for the creation of Godfrey's business and his future colleagues.

The work of formalizing, drafting and budgeting this project was thought out and written with Godfrey and friends with a view to mutual training and improving the acquired skills of business management.

* The budget of the project are available upon request in English and Swahili.

Thereafter, we will continue to feed this fund to support the professional training of other young people involved in our Movement.

At the same time, in keeping with our tradition of advocacy, this work of accompanying young people feeds our advocacy for professional insertion and the creation of activities within the national network for quality education Ten-Met in which we participate and national institutions (National Council for Technical Education – NACTE).

Mfuko wa Kusaidia Mafunzo ya Ufundi Stadi na Uhanzishaji wa Shuhuli

Baada ya kupata mapendekezo na ushauri kutoka kwa aliekua mwalimu wa Godftrey Michael Mwaja kituo cha mafunzo stadi Don Bosco Oysterbay, tukaazimia kuja na wazo la kutafuta mfuko ili kusaidia vijana wa ATD Dunia ya Nne Dar es Salaam, kwa kuanzia na Mradi wa Godfrey Michael Mwaja.

Kwahiyo, lengo letu ni kutafuta mfuko utakao wafadhili walio wengi ili kuweza kupata mtaji utakaomwezesha Godfrey Michael Mwaja kuanzisha biashara yeye na wenza wake.

Kazi ya kuandaa na kupangilia mpangilio wa gharama za mradi huu, uliandaliwa na kuratibiwa na Bwana Godfrey Michael Mwaja sambamba na rafiki zake, huku malengo makuu mawili yakiwa ni mafunzo na ujuzi unaojitajika katika kuendesha biashara kwa ufanisi.

Gharama za mradi zinapatikana kwa lugha mbili ambazo ni za Kiingereza na Kiswahili.

Hivyo hivyo tutaendelea kuhakikisha kupitia mfuko huu tunawawezesha vijana kwa kuwasaidia kupata mafunzo ya kitaalamu ambao wamekuwa karibu sana na shughuli za ATD Dunia ya Nne.

Wakati huohuo, kuhakikisha tunaendeleza utamaduni wetu wa kuendelea kutoa Elimu, Kazi hii ya kuwasaidia vijana katika ile dhana ya kupata Elimu yenye dhamira sawa inayoendana na mpangilio wa shughuli zinaratibiwa na mtandao wa Elimu Tanzania ambapo tumekuwa wadau katika ushiriki na Baraza la Elimu (NACTE).

Organized by: Damien Almar
Mar 29, 2022 15:54

.